The Kershaw Sessions
"The Kershaw Sessions" ni jina la albamu kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa dansi mwenye asili ya Kongo-Tanzania, Remmy Ongala. Albamu imetoka mwaka 1994 kwa mujibu wa mtandao wa Discogs[2] na WorldCat[3]—vilevile 1995 kwa mujibu wa mtandao wa Allmusic[4], MuzikiekWeb[5] na RateYourMusic.[6]
The Kershaw Sessions | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Remmy Ongala | |||||
Imetolewa | 1994[1] | ||||
Imerekodiwa | Miaka ya 1990 | ||||
Aina | Muziki wa dansi | ||||
Lebo | London : Strange Roots | ||||
Mtayarishaji | Remmy Ongala (Mtayarisha Mkuu) Dale Griffin Martin Parker |
||||
Wendo wa albamu za Remmy Ongala | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya The Kershaw Sessions | |||||
|
Albamu ilitayarishwa jijini London, Uingereza kupitia studio za Strange Roots—chini ya usimamizi wa mhandisi wa muziki mbalimbali ikiwa ni pamoja na John Taylor (nyimbo: 5-8), Mike Robinson (nyimbo: 1-4), Ralph Jordan (nyimbo: 9-12), Simon Askew (nyimbo: 5-8). Mbali na wataalamu wa kupanga vyombo, bado kulikuwa na kikosi kazi cha Remmy kilichofanikisha utayarishaji wa albamu hii.
- Bezi – Muhidini Haji (nyimbo: 1-8), Mussa Mangomba (nyimbo: 9-12)
- Zimetungwa na – Cosmos Chidimule (nyimbo: 6), Remmy Ongala
- Usanifu jalada – Kee Scott Associates|
- Drama – Lawrence Chuki (nyimbo: 1-4), Yusuph Subwa (nyimbo: 5-12)
- Gitaa – Batii Osenga Ipopolipo (nyimbo: 5-12), Freddy Mwalasha (nyimbo: 1-4), Ayas Hassan (nyimbo: 1-4 & 9-12), Kawele Mutimanwa (nyimbo: 9-12), Mjusi Shemboza (nyimbo: 5-8)
- Noti za muziki – Steve Carnaby
- Tumba – Saidi Jumaina (nyimbo: 1-4)
- Picha na [Kava la Mbele] – Francis Drake
- Picha na [Picha za Ndani ya Jalada] – Barbara Cheyne
- Matayarishaji – Dale Griffin (nyimbo: 1-4 & 5-8), Martin Parker (nyimbo: 9-12)
- Saxofoni – Matu Dikwndia (nyimbo: 1-4)
- Sauti – Cosmos Chidumule (nyimbo: 5-8)
- Sauti, Gitaa, Sauti za kusindikiza – Remmy Ongala (nyimbo: 1-12)
Orodha ya nyimbo
haririHii ni orodha ya nyimbo zinazopatikana katika albamu hii.
- Nasikitika
- Nifanyanini
- Dole
- Uzingizi
- Naruti Nyumbari
- Bwana Mdogo
- Niseme Nini
- Tupendane
- Kilio
- Waseme Waseme
- Maisha
- Amisa
Marejeo
hariri- ↑ [1] wavuti ya Discogs
- ↑ "Remmy Ongala - The Kershaw Sessions". Discogs (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-01-07.
- ↑ Remmy Ongala: the Kershaw sessions. (kwa Swahili), Strange Roots, 1994, iliwekwa mnamo 2019-01-07
{{citation}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Kershaw Sessions - Remmy Ongala | Credits". AllMusic (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-01-07.
- ↑ The Kershaw sessions - Remmy Ongala - Muziekweb (kwa Kiholanzi), iliwekwa mnamo 2019-01-07
- ↑ The Kershaw Sessions by Remmy Ongala, iliwekwa mnamo 2019-01-07