Discogs (ni kifupi cha discographies) ni jina la wavuti inayokusanya taarifa mbalimbali kuhusu rekodi za sauti ikiwa ni pamoja na kutoa matoleo ya kibiashara, matoleo ya kuchochea mauzo, yaani promosheni, na rekodi ambazo zimetolewa bila urasmi. Seva yake kwa sasa inatumia jina la discogs.com, ambayo inamilikiwa na kampuni ya Zink Media, Inc., na ipo mjini Portland, Oregon, Marekani. .[2][3]

Discogs
Discogs logo.svg.png
Kisaradiscogs.com
Aina ya tovutiMuziki
Lugha asiliaKiingereza, Kijerumani, Kihupania, Kiitalia, Kijapani, Kifaransa
MmilikiZink Media, Inc.
Imeanzishwa naNovemba 2000; miaka 23 iliyopita (2000-11)
Alexa rankincrease 587 (Global: December 2017)[1]
MapatoMatangazo (ukijisajili mtangazo yote yanaondoka), Eneo la soko ada za mwuzaji

Marejeo hariri

  1. Discogs.com Site Info. Alexa Internet. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-10-29. Iliwekwa mnamo 2017-12-10.
  2. Explore on Discogs. Discogs (25 October 2017). Iliwekwa mnamo 25 October 2017.
  3. Discogs Contributors. Discogs.com (15 April 2018). Iliwekwa mnamo 15 April 2018. “contributor#: 407,945”

Viungo vya Nje hariri