Michael Gregory Mizanin (hujulikana kwa jina la The Miz; alizaliwa Oktoba 8, 1980) ni mchezaji wa mieleka, pia mwigizaji wa filamu, kutoka nchini Marekani, Amesainiwa na WWE, ambako anacheza chini ya brandi ya SmackDown.

The Miz.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Miz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.