The Pentagon
The Pentagon ni jengo na ofisi ziko katika Arlington, Virginia karibu na Washington DC. Ni makao makuu ya Idara ya Ulinzi ya Marekani.
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 18 Desemba 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |