The Velvet Underground
The Velvet Underground lilikuwa kundi la muziki wa rock lililoanzisha huko mjini New York City, Marekani. Kwanza lilifanyakazi kuanzia 1964 hadi 1973, wanachama wake maarufu katika bendi hii ni pamoja na Lou Reed na John Cale, ambao wote wawili walikwenda kuwa wasanii wa kujitegemea wenye mafanikio zaidi.
The Velvet Underground | |
---|---|
The Velvet Underground kutoka 1966 - Lou Reed, Sterling Morrison, John Cale, Maureen Tucker na Nico
| |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | New York City |
Aina ya muziki | Rock |
Miaka ya kazi | 1965-1973, 1990, 1992-1994, 1996, 2009 |
Wanachama wa sasa | |
Lou Reed, Sterling Morrison, John Cale, Maureen Tucker, Nico |
Japokuwa waliambulia mafanikio madogo waliopata wakiwa pamoja, bendi hii hutajwa sana na wataalamu wa kutahakiki muziki ikiwa kama miongoni mwa makundi muhimu na maarufu ya miaka ya 1960.[1]
Diskografia
hariri- The Velvet Underground & Nico (1967)
- White Light/White Heat (1968)
- The Velvet Underground (1969)
- Loaded (1970)
- Live at Max's Kansas City (recorded 1970, released 1972)
- Squeeze (1973)
- 1969: The Velvet Underground Live (double album, recorded live 1969, released 1974)
- VU (recorded 1969, released 1985)
- Another View (recorded 1967-69, released 1986)
Marejeo
hariri- ↑ Richie Unterberger, [The Velvet Underground katika Allmusic "The Velvet Underground"], kwenye Allmusic, meelezwa April 29, 2007.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti
- Tovuti ya Lou Reed Ilihifadhiwa 6 Februari 2021 kwenye Wayback Machine.
- Tovuti ya John Cale katika MySpace
- The Velvet Undergound Run Run Run katika Youtube
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Velvet Underground kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |