John Cale
Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, mpiga kinanda, mpiga piano
John Davies Cale (amezaliwa Garnant, Carmarthenshire, Welisi, Ufalme wa Muungano, 9 Machi, 1942) ni mtunzi wa ala za muziki, mtayarishaji wa rekodi, mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo, mwimbaji.
John Cale | |
---|---|
John Cale playing the electric viola at a concert in Belgium, 2006. | |
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | John Davies Cale[1] |
Amezaliwa | 9 Machi 1942 Garnant, Carmarthenshire, Wales |
Kazi yake | Mwanamuziki, mtunzi wa ala za muziki, mwimbaji-mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi, |
Ala | Sauti, viola, violin, gitaa, gitaa la besi, Organ, piano, harpsichord, Kinanda, harmonica, chelo, besi maradufu, mellotronia, celesta, na nyingine |
Miaka ya kazi | 1965–hadi sasa |
Studio | SPY, Ze, Island, Reprise, Beserkley, A&M, Rhino, Domino, Double Six |
Ameshirikiana na | Theater of Eternal Music, The Velvet Underground, John Cage, Phil Manzanera, Nico, Lou Reed, Brian Eno, Kevin Ayers, Nick Drake |
Alikuwa mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la muziki wa rock la The Velvet Underground.
Diskografia
haririAlbamu akiwa peke yake
hariri- 1970 : Vintage Violence
- 1972 : The Academy in Peril
- 1973 : Paris 1919
- 1974 : Fear
- 1975 : Slow Dazzle
- 1975 : Helen of Troy
- 1981 : Honi Soit
- 1982 : Music for a New Society
- 1983 : Caribbean Sunset
- 1985 : Artificial Intelligence
- 1989 : Words for the Dying
- 1996 : Walking on Locusts
- 2003 : HoboSapiens
- 2005 : blackAcetate
- 2012 : Shifty Adventures in Nookie Wood
- 2016 : M:FANS
- 2023 : Mercy
Albamu za ushirika
hariri- 1971 : Church of Anthrax (akiwa na Terry Riley)
- 1990 : Songs for Drella (akiwa na Lou Reed)
- 1990 : Wrong Way Up (akiwa na Brian Eno)
- 1994 : Last Day on Earth (akiwa na Bob Neuwirth)
Tanbihi
haririMarejeo
hariri- Mitchell, Tim Sedition and Alchemy : A Biography of John Cale, 2003, ISBN 0-7206-1132-6
- The New Musical Express Book of Rock, 1975, Star Books, ISBN 0-352-30074-4
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official website
- John Cale at the Internet Movie Database
- Allmusic biography of Cale
- Fear Is A Man's Best Friend extensive fan site