Themsie Times

Mwigizaji wakike kutoka Africa Kusini

Themsie Times (wakati mwingine alijulikana kama Temsie Times au Themsie Times; Port Elizabeth, Eastern Cape, Afrika Kusini, 22 Septemba 1949 - 9 Desemba 2021) alikuwa mwigizaji wa filamu wa Afrika Kusini.

Maisha ya awali hariri

Alizaliwa mdogo kabisa kati ya ndugu saba.

Kazi hariri

Kazi ya televisheni ya Times ni pamoja na kuonekana kwenye filamu tatu na pia anaonekana kama Maria Zibula katika filamu ya 7de Laan, akiwa mmoja wa wahusika wa kawaida kwa miaka michache iliyopita.

Filamu hariri

Mwaka Filamu Uhusika Aina
1986 [Allan Quatermain and the Lost City of Gold]] Nurse adventure]
1997 Dangerous Ground] Black Hooker (credited as Temsie Times) thriller]
2003 Stander] Shebeen queen (credited as Themsie Times) biographical]

Maisha binafsi hariri

Mnamo Septemba 2008, alikuwa akiishi na kufanya kazi Johannesburg, Gauteng, Afrika Kusini.[1]

Marejeo hariri

  1. Jansen, Julian. "Maria van 7de Laan Begrawe Oudste Kind", [News24] (Rapport section), 13 September 2008. Retrieved on 18 January 2010. (Afrikaans) [dead link]
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Themsie Times kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.