Port Elizabeth
mji wa Rasi ya Mashariki, Afrika Kusini
Port Elizabeth ni mji wa Afrika Kusini katika jimbo la Rasi ya Mashariki.
Jiji la Gqeberha | |
Mahali pa mji wa Gqeberha katika Afrika Kusini |
|
Majiranukta: 33°57′36″S 25°35′24″E / 33.96000°S 25.59000°E | |
Nchi | Afrika Kusini |
---|---|
Majimbo | Rasi ya Mashariki |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 967,677 |
Tovuti: www.portelizabeth.co.za |
Tangu Februari 2021, jina la Gqeberha, kutoka lugha ya Kixhosa la mji wa Walmer, limerasimishwa na serikali ya Afrika Kusini kutaja jiji la Port Elizabeth.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Port Elizabeth kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |