Theodore William Richards

Theodore William Richards (31 Januari 18682 Aprili 1928) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine, alichunguza vipimo vya atomu. Mwaka wa 1914 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Theodore William Richards


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodore William Richards kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.