Thoughts and prayers

Thoughts and prayers ni maneno yanayotumiwa mara kwa mara hasa nchini Marekani kama rambirambi baada ya matukio ya kutisha, kama vile maafa ya asili au mauaji.[1].

Matumizi ya maneno hayo yamekosolewa hasa yakitumiwa baada ya mauaji wa watu wengi kwa bunduki au ugaidi[2][3][4][5][6]. Wakosoaji huona kwamba "mawazo na maombi" hutolewa kama mbadala wa hatua halisi kama vile kudhibiti uenezaji wa silaha. [7].

Marejeo hariri