Through the Rain

"Through the Rain" ni wimbo wenye miondoko ya pop ulioimbwa na Mariah Carey. Wimbo huu ulitungwa na kuandaliwa na Carey akishirikiana a Lione Cole kwa ajili ya albamu ya tisa ya studio iliyoitwa Charmbracelet iliotoka mwaka (2002). Wimbo huu ulitoka kama single ya kwanza kutoka katika albamu hii iliyotoka mwaka 2002. Mwimbaji wa wimbo huu unaelezea kufikwa na mambo mengi lakini nakabiliana nayo na kupitia katika mvua.

“Through the Rain”
“Through the Rain” cover
Single ya Mariah Carey
Imetolewa 17 Oktoba 2002
Muundo CD single, 7" single, 12" single
Aina Pop
Urefu 4:48
Studio Island
Mtayarishaji Mariah Carey, Jimmy Jam and Terry Lewis
Certification Gold (Canada & The Philippines)
Mwenendo wa single za Mariah Carey
"Through the Rain"
(2002)
"The One"
(2002)

Kutoka na mapokeziEdit

Wimbo wa "Through the Rain" ulitegemewa kuwa single itakayomrudisha Carey katika chati ya muziki, kutokana na albamu ya ‘’Glitter ya mwaka 2001 na single zake kushindwa kufanya vizuri. Lakini hata hivyo wimbo wa "Through the Rain" uliweza kufika katika afasi ya 81 katika chati ya Marekani ya Billboard Hot 100 na haukuweza hata kuingia katika chati ya Billboard Hot 100 Airplay. Kushindwa kufanya vizuri kwa single hii ndio kulipelekea kushindwa kufanya vizuri kwa albamu ya Charmbracelet duniani

"Through the Rain" ulitengenezwa katika rimiksi na Hex Hector akishirikiana na Mac Quayle (HQ2), Maurice Joshua, Full Intention, pamoja na Boris Dlugosch n Michi Lange (Boris & Michi).

Lakini hata hivyo wimbo wa "Through the Rain" ndio uliofanya vizuri nchini Philippines miongoni mwa nyimbo za Mariah Carey.

Video ya muzikiEdit

Video ya wimo huu iliongozwa na Dave Meyers, na ilifanyika katika jiji la New York City.

Muundo na orodha ya nyimboEdit

Canadian/European CD single

 1. "Through the Rain" (LP Version)
 2. "Through the Rain" (Remix featuring Kelly Price and Joe)

U.S. CD single

 1. "Through the Rain" (Album Version)
 2. "Through the Rain" (Hex Hector/Mac Quayle Radio Edit)
 3. "Bringin' On the Heartbreak" (Live Version)

Australian/European CD maxi-single #1

 1. "Through the Rain" (Radio Edit)
 2. "Through the Rain" (Hex Hector/Mac Quale Radio Edit)
 3. "Through the Rain" (Maurice Joshua Radio Edit)
 4. "Through the Rain" (Full Intention Club Mix)

Australian/European/Japanese CD maxi-single #2

 1. "Through the Rain" (LP Version)
 2. "Through the Rain" (Remix featuring Kelly Price and Joe)
 3. "Through the Rain" (Full Intention Radio Edit)
 4. "Through the Rain" (Boris & Michi's Radio Mix)

European CD maxi-single #3

 1. "Through the Rain" (Radio Edit)
 2. "Through the Rain" (Remix feat Kelly Price and Joe)
 3. "Through the Rain" (Maurice Joshua Remix)
 4. "Through the Rain" (Video)

European CD maxi-single #4

 1. "Through the Rain" (Album Version)
 2. "Through the Rain" (Full Intention Radio Mix)
 3. "Through the Rain" (Boris & Michi's Radio Mix)
 4. "Through the Rain" (Hex Hector Radio Mix)

ChatiEdit

Chati (2002) Ilipata
naasi
Australian Singles Chart[1] 15
Austrian Singles Chart[2] 45
Belgian Flandres Singles Chart[3] 44
Belgian Wallonia Singles Chart[4] 29
Canadian Singles Chart[5] 5
Danish Singles Chart[6] 13
Dutch Singles Chart[7] 9
French Singles Chart[8] 22
German Singles Chart[9] 36
Irish Singles Chart[10] 16
Italian Singles Chart[11] 7
Japanese Singles Chart[12] 26
New Zealand Singles Chart[13] 37
Norwegian Singles Chart[14] 15
Swedish Singles Chart[15] 7
Swiss Singles Chart[16] 7
UK Singles Chart[17] 8
U.S. Billboard Hot 100[18] 81
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[18] 17
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[18] 1
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[18] 69

MauzoEdit

Wasambazaji Mauzo Certification
Canada 10,000+ Gold
Philippines 16,000+ Gold

MarejeoEdit