Ticino ni jina la moja ya majimbo yanayounda shirikisho la Uswisi.

Ticino, Uswisi
Mahali pa Ticino katika Uswisi
Switzerland canton flag ti.png

Mji mkuu wake ni Bellinzona.

Wakazi wengi wanaongea Kiitalia na ni wafuasi wa Yesu Kristo katika Kanisa Katoliki.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ticino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.