Jimbo la Zürich

Jimbo la Zürich (Kijerumani: Kanton Zürich) ni jimbo liliopo nchini Uswisi. Jimbo lina wakazi takriban milioni 1.3 (kwa sensa ya mwaka wa 2007).[1] Jimbo lipo upande wa kaskazini-mashariki mwa Uswisi na mji mkuu wake ni Zürich. Lugha rasmi ya jimboni hapa ni Kijerumani, lakini watu waioshio hapa huzungumza lahaja ya lugha ya kienyeji ya Kiswisi Kijerumani iitwayo Züritüütsch.

Jimbo la Zürich
Mahali pa jimbo la Zürich katika Uswisi
Switzerland canton flag zh.png

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Federal Department of Statistics (2008). Ständige Wohnbevölkerung nach Staatsangehörigkeit, Geschlecht und Kantonen (Microsoft Excel). Iliwekwa mnamo 5 Novemba 2008.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Zürich kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.