Tigisis (Mauretania)

(Elekezwa kutoka Tigisis in Mauretania)

Tigisis (inajulikana pia kama Tigisis ya Mauretania ili kuitofautisha na Tigisis ya Numidia) ulikuwa mji wa kale wa Waberberi katika jimbo la Mauretania Caesariensis.[1]

Sehemu ya Tabula Peutingeriana ikionyesha "Tigisi"

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tigisis (Mauretania) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.