Tom Boy – Jike Dume
"Tom Boy – Jike Dume" ni jina la filamu iliyotoka 2014 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Seif Mbembe, Abdallah Mkumbila, Jaqueline Wolper na Nice Mohamed. Filamu imeongozwa na Ismail Zingo na kutayarishwa na Nice Mohamed akiwa na Steps Entertainment. Filamu inahusu mwanamke mmoja anayejita mwanaume ilhali ni mwanamke. Kupenda na kutenda mambo ya kiume.[1]
' | |
---|---|
Posta ya Tom Boy – Jike Dume | |
Imeongozwa na | Ismail Zingo |
Imetayarishwa na | Nice Entertainment Mtaya. Mtendaji: Steps Entertainment |
Imetungwa na | Nice Mohamed |
Nyota | Seif Mbembe Abdallah Mkumbila Jaqueline Wolper Nice Mohamed |
Sinematografi | Kabuti Onyango |
Imesambazwa na | Steps Entertainment |
Imetolewa tar. | 2014 |
Lugha | Kiswahili |
Marejeo
hariri- ↑ Tom Boy – Jike Dume Ilihifadhiwa 3 Agosti 2017 kwenye Wayback Machine. katika Bongo Cinema.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tom Boy – Jike Dume kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |