Tomer Chencinski
Tomer Chencinski (alizaliwa Desemba 1, 1984) ana asili ya Israeli na Kanada.[1] Mchezaji wa soka anayechukua nafasi ya kipa. Alicheza soka ya chuo katika Chuo Kikuu cha Robert Morris, ambapo mwaka 2004 alishika nafasi ya 16 kitaifa kwa kuokoa mipira mingi kwa mchezo, na pia katika chuo kiuu cha Fairleigh Dickinson. Hivi karibuni aliichezea klabu ya Ireland Shamrock Rovers. Aidha, alicheza mechi moja kwa timu ya taifa ya soka ya Kanada.[2][3][4]
Marejeo
hariri- ↑ "Coach Profile".
- ↑ Telegraph, Alex Harris webmaster@jewishtelegraph.com - Jewish. "A JEWISH TELEGRAPH NEWSPAPER". www.jewishtelegraph.com. Iliwekwa mnamo Juni 18, 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Canada Soccer". canadasoccer.com. Iliwekwa mnamo Juni 18, 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Tomer Chencinski - 2005-06 Men's Soccer - Fairleigh Dickinson University". Iliwekwa mnamo Juni 18, 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tomer Chencinski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |