Tony Gum

Msanii wa Afrika Kusini

Tony Gum (alizaliwa mwaka 1995) ni mpiga picha wa Afrika ya Kusini. [1][2][3] Gum alizaliwa Kwa Langa eneo iliyopo Cape Town katika jimbo la huba ya magharibi. [1][4] Alianza kazi yake ya upigaji picha kwa kujipiga picha mwenyewe na kuchapisha katika mtandao wa Instagram. [5] Kutokana na Juhudi zake upigaji picha ukawa kazi yake katika Sanaa. [6] Alitunukiwa tuzo ya Miami Beach Pulse mwaka 2017. [7][8]

Kazi yake imebezi kwenye sanaa, upigaji picha, muziki na Maisha kwa ujumla. Vivutio vikubwa kwa Tony walikuwa wapiga picha wa Afrika, Malick Sidibe na Zanele Muholi, vilevile na mwandishi wa riwaya wa Nigeria, Chimamande Adiche Ngozi. Kazi ya Tony kama msanii ulianza pale alipotambulishwa na Christopher Moller, mkurugenzi wa maonyesho ya Christopher Moller, kupitia kwa Ashraf Jamal, aliyekuwa mhadhiri wa Tony na gwiji wa Sanaa wa Afrika ya Kusini .Jumba la Maonyesho ya Christopher Moller ilianza kumwakilisha Tony Gum tangu mwezi Agosti 2015.[9]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tony Gum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.