Toodyay, Australia Magharibi
Toodyay ni mji kwenye Mto Avon katika Australia Magharibi, kilomita 85 kaskazini-mashariki mwa Perth, katika eneo linalojulikana kama "kanda la ngano" (Wheatbelt[1][2][3]) la Australia. Mji ulijulikana kama Newcastle kati ya 1860 na 1910.
Idadi ya wakazi ilikuwa 1,362 kwenye mwaka 2021.[4]
Makazi ya kwanza ya Wazungu yalijenwga hapa mwaka wa 1836. Baada ya mafuriko katika miaka ya 1850, eneo la mji lilihamishwa hadi eneo lake la sasa katika miaka ya 1860. Imeunganishwa na reli na barabara kwenda Perth.
.
Marejeo
hariri- ↑ "Australian Bureau of Statistics", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-07-31, iliwekwa mnamo 2022-10-04
- ↑ "NAME OF TOWN CHANGED.", Kalgoorlie Miner, 1910-05-05, iliwekwa mnamo 2022-10-04
- ↑ http://www.mainroads.wa.gov.au/_layouts/getAsset.aspx?URI=2027416&REV=1&RCN=D08
- ↑ [https://www.abs.gov.au/census/find-census-data/quickstats/2021/SAL51458 Toodyay 2021 Census All persons QuickStats]