Torey Hayden
Victoria Lynn Hayden (anajulikana kama Torey L. Hayden; alizaliwa Livingston, Montana, Marekani, 21 Mei 1951)[1] ni mwalimu wa elimu maalum, mhadhiri wa chuo kikuu, na mwandishi wa vitabu vya kweli vinavyotokana na uzoefu wake wa kweli katika kufundisha na kutoa ushauri kwa watoto wenye mahitaji maalum, pamoja na vitabu vya riwaya.
Mada zinazozungumziwa katika vitabu vyake ni pamoja na autism, ugonjwa wa Tourette, unyanyasaji wa kijinsia, ugonjwa wa fetasi wa pombe, na kutokusema kwa hiari (ambayo sasa inajulikana kama kutokusema kwa kuchagua), ambayo ni utaalamu wake.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Torey Hayden - Biography". www.torey-hayden.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-01. Iliwekwa mnamo 2018-04-26.
- ↑ "The Books". Torey Hayden official website. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-28. Iliwekwa mnamo 2018-09-21.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Torey Hayden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |