Toronto Raptors

Toronto Raptors ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Toronto, Ontario. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Kawhi Leonard, Kyle Lowry.

Mechi kati y timu ya Toronto Raptors na Orlando Magic

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Toronto Raptors kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.