Toshiyuki Fujimoto

Toshiyuki Fujimoto (藤本 俊之, Fujimoto Toshiyuki,alizaliwa 25 Juni 1979 katika Mkoa wa Hyogo) ni mwanariadha nchini Japani ambaye aliyebobea katika mbio za mita 200. Alimaliza wa nne katika mbio za kupokezana za mita 4 × 100 katika mashindano ya dunia ya mwaka 2001, pamoja na wachezaji wenzake Ryo Matsuda, Shingo Suetsugu na Nobuharu Asahara.[1]

Mafanikio Binafsi

hariri
Tukio Mda aliomaliza Michuano Uwanja Tarehe
100m 10.42 (+1.6m/s) Mikio Oda Memorial Hiroshima, Japan 29 April 2003
10.30 (+4.3m/s) Mikio Oda Memorial Hiroshima, Japan 29 April 2003
200m 20.56 (+1.0m/s) World Championships Edmonton, Canada 8 August 2001

Michuano ya kimataifa

hariri
Mwaka Michuano Uwanja Nafasi Tukio Mda
Anaiwakilisha   Japan
2001 Mashindano ya Dunia Edmonton, Canada 13th (sf) 200m 20.56 (wind: +1.0m/s)
4th 4×100m relay 38.96 (relay leg: 3rd)

Marejeo

hariri
  1. https://www.worldathletics.org/competitions/world-athletics-championships/8th-iaaf-world-championships-6947294/results/men/4x100-metres-relay/final/result%7Ctitle=4x100 Metres Relay Men − Results|website=World Athletics|access-date=28 October 2020}}
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Toshiyuki Fujimoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.