Toto Africans S.C.
Toto African S.C. ni klabu ya mpira wa miguu iliyopo mkoani Mwanza, nchini Tanzania. Wanacheza kwa kiwango cha juu cha soka. Waliwahi kucheza katika Ligi Kuu ya Tanzania. Walirudi katika kiwango cha juu zaidi msimu wa 2015/2016, baada ya kushushwa daraja mwishoni mwa msimu wa 2012/13.
Mafanikio ya klabu
haririToto African walishangilia kurudi kwao katika kiwango cha juu cha soka la Tanzania baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Mwadui FC kwenye uwanja wa CCM Kirumba mnamo 12 Septemba 2015. Miraji Athumani alifunga magoli pekee ya mchezo upande wa Toto.
Wanacheza michezo yao ya nyumbani kwenye Uwanja wa CCM Kirumba wenye uwezo kuchukua watu 35,000.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Toto Africans S.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |