Toyota Vista
Toyota Vista lilikuwa gari dhabiti lililozinduliwa mwaka wa 1982 kama dada ya camry na kampuni ya Toyota katika Ujapani. Jina hili lilianzishwa ili kuwa sawa na mtandao wa Vista wa Toyota katika wakati huo huo. Tofauti na camry, ambayo kuanzia mwaka wa 1988 ilikuwa inapatikana kwa injini ya V6 , Vizazi vyote vilipatikana na injini moja ya nne laini ambayo ilitumia mafuta ya dizeli au petroli .
Kila mtindo wa Vista lenyewe ni mtindo wa Toyota camry wa ,soko ya Kijapani ,amapo Camry imekuwa gari ndogo lakini kizazi cha kwanza kilikuwa na mtindo wa hatchback. Vistas nyingi hadi jamii ya V40 huwa na paa ngumu. Wakati camry ilibreshwa sura , pia Vista ilifanywa vivyo hivyo. Utaratibu huu uliendelea hadi mwishoni mwa mwaka wa , wakati Camry mpya, kubwa, "ulimwenguni" lilimiliki jina "camry". Kabla ya mwaka wa 1996, huu mtindo mkubwa wa CX / CV uliuzwa katika Ujapani kama Scepter (MCV10) na camry Gracia (MCV20/MCX20). Kisha mwezi Agosti 1998 kizazi cha mwisho cha Vista kingeundwa, huru ya camry. Vista ni maarufu katika gari za kuagizwa katika Ireland, kama ilivyo maarufu na madereva wa teksi.
Kizazi cha Kwanza V10 (1982-1986)
haririAlso called | Toyota Camry |
---|---|
Production | 1982–1986 |
Assembly | Toyota City, Japan |
Body style(s) | 4-door sedan 5-door hatchback |
Layout | FF layout |
Engine(s) | 1.8 L 1S-LU I4 1.8 L 1S-iLU I4 1.8 L 1C-TL(C) I4 turbodiesel 2.0 L 2S-ELU I4 2.0 L 3S-GELU I4 2.0 L 2C-TL turbodiesel I4 |
Transmission(s) | 5-speed manual 4-speed A140E automatic |
Wheelbase | mm 2 600 (in 100) |
Marefu | mm 4 415 (in 173.8) |
Upana | mm 1 690 (in 67) |
Urefu | mm 1 395 (in 54.9) |
Curb weight | kg 1 065 (lb 2 348) |
Vista hii ilitokea mara ya kwanza Aprili 1982 kama kiwango cha trimu ya kupendeza ya kizazi cha pili cha Toyota camry na kuuzwa klwa wingi katika maduka ya Toyota na juina moja , Vista. Miundo ya mwili iliyopatikana ilikuwa sedani ya milango 4 sedan na hatchback ya milango 5 na gia ya kuendeshwaya spidi 5,Toleo ambalo lilikuwa na gia ya kujiendesha lilitolewa baadaye mwezi Agosti 1982. ngazi za trimu zilikuwa VC, VL, VE, na VX ikiwa juu. Jina rasmi ya magari gari haya lilikuwa camry Vista. kioo cha mwangaza katika paa kiipatikana kwa VX ya ngazi ya juu, pamoja na injini ya 2S-ELU.
Agosti mwaka wa 1983 injini ya 1C-TL 1.8 L turbo ya dizeli ilitplewa. Juni 1984 ilipata vidhibiti ambavyo viliipatia sura ya spoti, na injini ya DOHC 2.0 L ilipatikana katika VS. Injini DOHC katika gari linalosonga na magurudumu ya mbele ilikuwa jambo ambalo si la kawaida wakati huo. Ya dizeli ilipandishwa hadi 2.0 L Agosti 1985.
Kizazi cha pili v20 (1986-1990)
haririAlso called | Lexus ES 250 |
---|---|
Production | 1986–1990 |
Assembly | Tsutsumi, Japan |
Body style(s) | 4-door sedan 4-door hardtop |
Layout | Front engine, front-wheel drive / Four-wheel drive |
Engine(s) | 1.8 L 1S I4 (1987-1989) 2.0 L 3S-FE I4 |
Transmission(s) | 5-speed S51 manual 5-speed S53 manual (FF I4) 5-speed E56F5 manual (F4) 4-speed A140E automatic 4-speed A540H automatic (F4) |
Wheelbase | mm 2 600 (in 100) |
Marefu | mm 4 520 (in 178) |
Upana | mm 1 690 (in 67) |
Urefu | Sedan: mm 1 370 (in 54) |
Curb weight | kg 1 210 (lb 2 670) |
Related | Toyota Camry SV20 |
Vista ya kizazi cha pili inayotolewa kwa mara ya kwanza ili kuuzwa Agosti mwaka wa 1986, na tofauti na binamu yake uya kiwango cha juu, Lexus ES, Vista haikupatikana na injini ya V6. Hatchback ya milango mitano ilibadilshwa na aidha sedani ya milango 4 au mwili wenye paa ngumu, na siura inayofanana na Mark II kubwa. Vista iliendeleza mazoea ya Toyota ya mtindo wa spoti ina msingi wa sedani, na kuwa katika jamii ya GT. Injini zote hutumia unyunyuzi wa mafuta pekee.
Oktoba mwaka wa 1987 4WD ilianzishwa kwenye injini ya 2.0 L 4s-Fi , iliyounganishwa na gia ya kujiendesha, na Etoile Vista ilitumia inmjini ya 4s-Fé.
Kizazi cha tatu V30 (1990-1994)
haririProduction | 1990–1994 |
---|---|
Assembly | Tsutsumi, Japan |
Body style(s) | 4-door hardtop 4-door sedan |
Layout | Front engine, front-wheel drive / Four-wheel drive |
Engine(s) | 1.8 L I4 2.0 L I4 2.0 L I4 (turbodiesel) |
Marefu | mm 4 520 (in 178) |
Upana | mm 1 695 (in 66.7) |
Urefu | mm 1 395 (in 54.9) |
Curb weight | kg 1 390 (lb 3 060) |
Related | Toyota Camry SV30 |
Hili toleo la Vista huwa na sura sawa na Windom. Ilianzishwa Julai 1990. Injini zilizopatikana zilikuwa 4s 1.8 na 3S 2.0. Injini za dizeli zilitumia [[2C-T na injini zote zilikuja na DOHC|2C-T na injini zote zilikuja na DOHC]]. Gurudumu la kuendesha la yote manne iliweza kupatikana kwenye magari haya na injini ya 2.0 L petroli. Trimu ya VX mara ilitolewa Mei 1991 pamoja na sura ya ndani ya ngozi. Julai 1992 injini ya 3S-GE iliondolewa kwenye ngazi ya juu magari ya trimu, na kidhibiti hewa kubadilishwa kuwa cha R134a CFC-huru badala yake.
Kizazi cha Nne V40 (1994-1998)
haririProduction | 1994–1998 |
---|---|
Assembly | Tsutsumi, Japan |
Body style(s) | 4-door sedan 4-door hardtop |
Layout | Front engine, front-wheel drive / Four-wheel drive |
Engine(s) | 1.8 L I4 2.0 L I4 2.2 L I4 (turbodiesel) |
Wheelbase | mm 2 650 (in 104) |
Marefu | mm 4 625 (in 182.1) |
Upana | mm 1 695 (in 66.7) |
Urefu | mm 1 410 (in 56)–mm 1 435 (in 56.5) |
Curb weight | kg 1 310 (lb 2 890) |
Wakati camry ilikuwa mtindo maarufu Marekani na mtindo mwembamba wa Kijapani kuondolewa Vista ndio gari lililoedelea kuundwa katika mm 4 700 (in 185.0) x mm 1 700 (in 66.9) urefu-upana, historia ya sheria ya ushuru wa Kijapani. Baada ya marekebisho, Toyota iliamua kubadilisha ubao wa jina. Gari hili lina urefu wa mm 100 (in 3.9) kuliko lililotangulia.
Vista hii ni muhimu kwa sababu ni moja ya matunda ya kwanza ya juhudi za kampuni ya Toyota katika nuboreshaji. Utafit kuhusu msingi wa Fwd na ufungaji (sura) ulianza mwaka wa 1993 na kutokea katika soko mwezi wa Februari 1997 katika Toyota Prius, lakini Vista ndiyo gari la kwanza kuundwa kwa wingi,la Fwd Toyota na msingi mpya. Toyota huwa na madai hayo katika uboreshaji na kufikiria upya wa msingi yake ya Fwd tangu 1982 camry / Vista. Katika huu msingi, Toyota hubadilishaMcPherson Struts za nyuma kwa boriti ya torsion axle. Mfumo wa wishbone mara mbili katika axle ya Nissan Primera inapatikana katika magari yanayosonga kwa miguu yote .Hii itakuwa makalio ya nyuma katika magari yanyodaiwa kwa wingi ya Fwd kama vile Toyota Celicaya mwisho. Toyota pia inabadilisha mtazamo wa injini ili kuboresha utumiaji wa nafasi vilivyo.
Kizazi cha Tano V50 (1998-2003)
haririProduction | 1998–2003 |
---|---|
Assembly | Tsutsumi, Japan |
Body style(s) | 4-door sedan 4-door station wagon |
Layout | Front engine, front-wheel drive / Four-wheel drive |
Engine(s) | 1.8 L I4 2.0 L I4 2.2 L I4 (turbodiesel) |
Wheelbase | mm 2 700 (in 110) |
Marefu | mm 4 670 (in 184) |
Upana | mm 1 695 (in 66.7) |
Urefu | mm 1 505 (in 59.3)–mm 1 515 (in 59.6) |
Curb weight | kg 1 310 (lb 2 890) |
Uundaji wa Vista ulikoma mwezi wa Julai 2003, ambapo Toyota ilkuwa tayari kuunganisha wafanyabiashara wa Vista na mtandao wa wafanibiashara wa Netz. Hatua hili la kurahisisha uuzaji wa Toyota lilikuja katika uzinduzi wa Lexus katika Ujapani, uliyopangwa kuwa Agosti 2005. Aprili 2005 mchakato huo ulikamilika na wafanyibiashara wote wa Vista walijiunga na Netz .
Kizazi tano Vista kilipatikana kama sedani, na Wagon iliyoitwa Vista Ardeo. Injini za 1.8 L na 2.0 L zilipatikana. Pia ndani kuna chombo kinachonyesha urambazaji.
Msingi wa gari hili ulitumika katika Toyota Prius ya kizazi cha kwanza, na pia ulitumika na OPA, Wish, Caldina, Avensis na Celica.
Marejeo
hariri- GAZOO.com名車館トヨタビスタ4ドアセダン1983年 Archived 18 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- GAZOO.com名車館トヨタビスタハードトップ2000VX 1986年 Archived 18 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- GAZOO.com名車館トヨタビスタ2000GT 4WS 1990年 Archived 18 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- GAZOO.com名車館トヨタビスタツーリング1994年 Archived 18 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- GAZOO.com名車館トヨタビスタN180 1998年 Archived 18 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- GAZOO.com名車館トヨタビスタワゴンアルデオ200WD 1998年 Archived 18 Julai 2011 at the Wayback Machine.
Viungo vya nje
haririMakala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |