Trabzonspor, pia inajulikana kama Trabzonspor Kulübü, ni klabu maarufu ya mpira wa miguu kutoka nchini Uturuki. Klabu ilianzishwa mnamo mwaka 1967 na ina wanachama wapatao 27.000.

Kikosi cha Timu ya Trabzonspor

Uwanja wao wa nyumbani maarufu unaitwa Hüseyin Avni Aker Stadı mjini Trabzon.

Wachezaji maarufu wa klabu ya Trabzonspor hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Trabzonspor kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.