Tsuru Morimoto
Tsuru Morimoto (alizaliwa 9 Novemba 1970) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Japani. Tsuru aliwahi kucheza timu ya taifa ya Japan. Baba yake ni Mamoru Morimoto ni mwanariadha wa mbio za masafa marefu.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Japan Football Association
- ↑ Agergaard Sine, Tiesler, Nina Clara (2014). Women, Soccer and Transnational Migration. New York: Routledge. uk. 108. ISBN 9781135939380.
{{cite book}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tsuru Morimoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |