Tulancingo, Hildago

Tulancingo (jina rasmi: Tulancingo de Bravo) ni mji mkubwa katika jimbo la Hidalgo upande wa mashariki - kusini ya jimbo. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 129,935 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 290.4 km².

Muonekano wa Mji wa Tulancingo, Hildago



Jiji la Tulancingo
Nchi Mexiko
Jimbo Hidalgo
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 129,935
Tovuti:  www.pachuca.gob.mx

Mji ulianzishwa mwaka 1869.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tulancingo, Hildago kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.