Tullia, Numidia

titular see huko Numidia

Tullia ulikuwa mji muhimu wa kale uliokuwa pia makao makuu ya askofu katika jimbo la Numidia, eneo ambalo leo linafahamika kama Annaba, nchini Algeria[1].

Tanbihi

hariri
  1. http://www.gcatholic.org/dioceses/former/t1886.htm GigaCatholic with titular incumbent biography links
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tullia, Numidia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.