Tumbura ni mji wa Sudan Kusini, jimbo la Equatoria Magharibi.
Idadi ya watu wake ilikadiriwa kuwa 9,500 mwaka 2010.