Tunbosun Aiyedehin

Tunbosun Aiyedehin (alizaliwa Juni 19, 1973), ni mwigizaji filamu na msanii wa sauti kutoka Nigeria.[1][2][3][4] Anajulikana zaidi kwa jukumu lake katika filamu, "Two Brides and a Baby" na "Kpians: The Feast of Soul".[5][6]

Maisha yake hariri

Tunbosun Aiyedehin anaishi katika Jimbo la Lagos. Aiyedehin ni mhitimu wa Usimamizi wa Biashara kutoka Chuo Kikuu cha Ahmadu Bello.[7]

Marejeo hariri

  1. "Tunbosun Aiyedehin Speaks On Sexual Exploitation In Nollywood". independent.ng. 
  2. "WHY COSTUMING IS A MAJOR CHALLENGE FOR ACTORS –NOLLYWOOD ACTRESS TUNBOSUN AIYEDEHIN A.K.A TUBY". The Nation Newspaper. 
  3. "Jara: The rise and rise of Tubosun Aiyedehin". africamagic.dstv.com. 
  4. "Tubosun Aiyedehin". flixanda.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-09. Iliwekwa mnamo 2024-04-23. 
  5. "Tunbosun Aiyedehin". imdb.com. 
  6. "Tunbosun Aiyedehin". insidenolly.ng. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-27. Iliwekwa mnamo 2024-04-23. 
  7. "Tunbosun Aiyedehin I’m that Basic Family Woman…". ThisDay Newspaper. 
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tunbosun Aiyedehin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.