Tupac: Resurrection

Tupac: Resurrection ni filamu ya mwaka wa 2003 ambayo inaonesha maisha halisi na kifo cha rapa - hayati Tupac Shakur. Filamu, imeongozwa na Lauren Lazin na kusambazwa na Paramount Pictures, imehadithiwa na Tupac Shakur mwenyewe. Filamu ilianza kutolewa kwenye makumbi ya sinema mnamo tar. 16 Novemba 2003 hadi 21 Desemba 2003. Na kwa tarehe 1 Julai 2008, imepata zaidi ya dola za Kimarekani milioni 7.8, na kuifanya kuwa filamu ya kumi na mbili kuhusu maisha halisi ya msanii kupata mahela mengi nchini Marekani.[2] Filamu pia imechaguliwa kwenye Academy Award.[3]

Tupac Resurrection
Imeongozwa na Lauren Lazin
Imetayarishwa na Lauren Lazin
Preston Holmes
Karolyn Ali
Nyota Tupac Shakur
Muziki na Tupac Shakur
Imehaririwa na Richard Calderon
Imesambazwa na Paramount Pictures
Imetolewa tar. Januari 22, 2003 (2003-01-22) (Sundance)
Novemba 14, 2003 (2003-11-14)
Ina muda wa dk. 111
Nchi Marekani
Lugha Kiingereza
Mapato yote ya filamu $7,808,524 [1]

Tazama pia

hariri
  • Tupac: Ressurection - maelezo kuhusu kibwagizo na baadhi ya nyimbo zilizotolewa kwa ajili ya filamu hii.

Marejeo

hariri
  1. http://www.boxofficemojo.com/movies/?id=tupacresurrection.htm
  2. "Documentary Movies". www.boxofficemojo.com. Iliwekwa mnamo 2008-07-01.
  3. "NY Times: Tupac: Resurrection". NY Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-01-25. Iliwekwa mnamo 2008-11-23. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)

Viungo vya nje

hariri