Tuwon shinkafa
Tuwon shinkafa ni aina ya mlo wa Kinaijeria na Niger kutoka Niger na sehemu ya kaskazini ya Nigeria.[[1]][[2]][[3]] Ni rojo nzito iliyotayarishwa kutokana na mchele wa kawaida ambao ni laini na unaonata, na kwa kawaida inaandaliwa na aina tofauti za supu kama vile Miyar kuka, Miyar kubewa, Miyar taushe. [[4]][[5]]Aina mbili zinazotengenezwa kutokana na unga wa Mahindi na mtama zinaitwa Tuwon Masara na Tuwon Dawa. [[6]][[7]][[8]]
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-07. Iliwekwa mnamo 2022-06-17.
- ↑ https://trek.zone/en/nigeria/cuisine/tuwo-shinkafa
- ↑ https://artsandculture.google.com/story/three-delicious-delicacies-north-of-the-niger/NwXRvl_Nzd1jLw
- ↑ https://www.royacshop.com/2797-how-to-prepare-tuwo-shinkafa-and-miyan-taushe.html
- ↑ https://familycooking.pages.dev/menu2/1441-simple-way-to-make-ultimate-tuwon-shinkafa-d-miyar-kuka/
- ↑ http://www.nigerianfoodtv.com/2014/08/tuwo-shinkafa-tuwon-shinkafa-made-from.html?m=1
- ↑ https://nimedhealth.com.ng/2020/07/31/tuwo-masara-health-benefits-how-to-prepare-tuwo-masara-tuwo-masara-recipes/
- ↑ https://9jafoods.com/how-to-make-tuwon-dawa-nigerian-guinea-corn-fufu/