Tuzo ya Kiswahili ya Mabati Cornell

Tuzo ya Kiswahili ya Mabati Cornell (kwa Kiingereza: the Mabati Cornell Kiswahili Prize for African Literature) ni tuzo kwa ajili ya waandishi wa lugha ya Kiswahili iliyoanzishwa mwaka 2014 na Mukoma wa Ngugi, ambaye ni profesa katika chuo kikuu cha Cornell University, pamoja na Lizzy Attree [1]. Malengo ni kutangaza na kuendeleza fasihi ya Kiswahili katika bara la Afrika kwa kutuza waandishi wa mashairi na riwaya.

Tuzo hiyo inadhaminiwa na kampuni ya Mabati Rolling Mills ya nchini Kenya na Cornell University cha New York nchini Marekani [2].

Washindi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo ya Kiswahili ya Mabati Cornell kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.