Tuzo za Muziki za Muzikol

Tuzo za Muziki za muzikol(inayojulikana kama MUMA) ni mpango wa uzo za muziki uliobuniwa na kampuni ya teknolojia nchini Cameroon iitwayo ABEBOH na inayoendeshwa na bidhaa yake ya Muziki iitwayo Muzikol[1]. Lengo Kuu la tuzo za Muzikol Music ni kutuza na kusherehekea maonyesho bora katika Tasnia ya Muziki ya Kiafrika na Kameruni[2]. Tuzo za Muziki za muzikol inalenga kusherehekea Sekta ya Muziki ya Kiafrika kupitia muziki, wanamuziki na wataalamu wote wa muziki wanaounda tasnia ya muziki. [3]

Marejeo hariri