Tuzo za Vinara Katika Kupambana na Ukatili wa Kijinsia (Tanzania)

Tuzo zinazotolewa kila mwaka nchini Tanzania kwa lengo la kutambua mchango wa wanaharakati na watu wengine katika kupinga ukatili wa kijinsia.

Tuzo za vinara katika kupambana na ukatili wa kijinsia, ni tuzo zinazotolewa kila mwaka nchini Tanzania kwa lengo la kutambua mchango wa wanaharakati na watu wengine katika kupinga ukatili wa kijinsia katika jamii. [1] Tuzo hizi hutolewa na shirika la Wanawake katika sheria barani Afrika, likilenga maeneo mbalimbali ya uanaharakati wa ukatili.

Viungo vya Nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-19. Iliwekwa mnamo 2023-01-19.