Tuzo za muziki Pearl of Africa
Tuzo za Muziki Pearl of Africa (pia hufahamika kama the PAM Awards) zilikuwa ni Tuzo za kitaifa ambazo hufanyika kila mwaka nchini Uganda. Uzinduzi wa sherehe hizo ulianzishwa mwaka 2003. Mwaka 2006 vipengele vingine vya wanamuziki kutoka nchi za Afrika Mashariki vilitambulishwa.
Washindi walikuwa wanachaguliwa kwa mchanganyiko wa paneli ya majaji na Kura za Umma.[1]
Viungo vya Nje
hariri
Marejeo
haririMakala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |