Tuzo za muziki Tanzania

Tuzo za muziki Tanzania- ni tuzo za muziki za kitaifa zinazofanyika kila mwaka nchini [1]Tanzania. Pia zinajulikana kama Kilimanjaro Music Awards au Kili Music Awards kama mfadhili wao Kilimanjaro Premium Lager. [2]Ttuzo zake zilianzishwa mwaka 1999 na Baraza la Sanaa la Taifa BASATA chini ya Wizara ya Elimu na Utamaduni ya Tanzania.

Vipengele vya Tuzo

hariri

o  Msanii Bora wa Kiume

o  Msanii Bora wa

o  Mwimbaji Bora wa Kiume

o  Mwimbaji Bora wa

o  Mwandishi Bora wa Wimbo

o  Msanii Bora Anayekuja

o  Msanii bora wa Hip Hop

o  Rapa bora (kutoka bendi)

o  Wimbo Bora

o  Video Bora ya Muziki

o  Mkurugenzi Bora wa Video ya Muziki

o  Wimbo Bora wa Afro Pop

o  Wimbo Bora wa R&B

o  Wimbo Bora wa Zouk/Rhumba

o  Wimbo Bora wa Hip Hop

o  Wimbo Bora wa Ushirikiano

o  Wimbo Bora wa Kiswahili (kutoka bendi)

o  Wimbo Bora wa Ragga/Dancehall

o  Wimbo Bora wa Reggae

o  Wimbo Bora wa Taarab

o  Wimbo Bora wa Afrika Mashariki

o  Wimbo Bora wa Jadi

o  Mtayarishaji Bora Jim Beam

Marejeo

hariri
  1. http://www.kilitimetz.com/awards/2009/about_awards.html
  2. https://allafrica.com/stories/201103281745.html