Tuzo za muziki za Cabo Verde

Historia hariri

Tuzo za muziki za Cabo Verde (CVMA) ni hafla ya utoaji wa tuzo za muziki zinazodanyika kila mwaka. Hafla hizo hufanyika katika mji mkuu wa Praia, Cape Verde. Pia huonyeshwa katika kituo cha televisheni cha TCV.

Bendi ya muziki iitwayo Splash ilishinda jumla ya tuzo tano[1]. Neuza alishinda katika vipengele viwili mwaka 2014 [2]

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-18. Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
  2. http://muzika.sapo.cv/novidades/lista-completa-dos-vencedores-dos-cvma-2014