UNECA ni kifupisho cha United Nations Economic Commission for Africa yaani Tume ya Umoja wa Mataifa kuhusu Uchumi wa Afrika. Kifupisho kingine ni ECA.

Nembo ya UNECA

Makao makuu yako Addis Ababa, Ethiopia.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu "UNECA" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.