UN Women

Shirika la umoja wa mataifa la kuhudumia wanawake na wasichana

UN Women ni shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika kuwawezesha na kutetea haki na usawa kwa wanawake na wasichana, pamoja na upingaji wa vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake.

Shirika hili la kimataifa la uwewezeshaji Wanawake Duniani lilianzishwa mnamo mwaka 1976 na kutambuliwa rasmi mwaka 1976 na kuanza kufanya kazi zake rasmi mnamo mwezi Januari mwaka 2011 .[1] Raisi mstaafu wa Chile Michelle Bachelet alikuwa mkurugenzi mtendaji wa shirika hili, na Sima Sami Bahous ni mkurugenzi mtendaji wa shirika hili kwa sasa.[2] Shirika hili pia ni mwanachama wa kundi la kimaendeleo la umoja wa Mataifa .[3]

Marejeo hariri

  1. "Frequently Asked Questions". UN Women - Asia and the Pacific. Iliwekwa mnamo 20 September 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Gender equality ‘champion’ Sima Sami Bahous to lead UN Women". UN News (kwa Kiingereza). 2021-09-13. Iliwekwa mnamo 2021-09-17. 
  3. "UNDG Members". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-11. Iliwekwa mnamo 2023-01-16.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)