Ua Huka ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Nuku Hiva. Eneo la kisiwa ni 83 km². Kuna vijiji vitatu kisiwani viitavyo Vaipaee, Hane na Hokatu. Mwaka wa 2007, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 571. Watu wakaao kisiwani kwa Ua Huka huongea Kimarkesa ya Kaskazini na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.