Uchafuzi wa ardhi
kuanzishwa kwa uchafuzi katika mazingira ya asili ambayo husababisha mabadiliko mabaya
Uchafuzi wa Ardhi husababishwa kwa kuwepo na kemikali za xenobiotic (zinazotengenezwa na binadamu) au mabadiliko mengine ya mazingira ya asili ya udongo. Kwa kawaida husababishwa na shughuli za viwanda, kemikali za kilimo au utupaji holela wa taka.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |