Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1908

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1908 ulikuwa wa 31 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 3 Novemba. Upande wa "Republican Party", William Howard Taft (pamoja na kaimu wake James Sherman) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" William Jennings Bryan (pamoja na kaimu wake John Kern).

Matokeo hariri

Taft akapata kura 321, na Bryan 162. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.