Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1920

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1920 ulikuwa wa 34 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 2 Novemba. Upande wa "Republican Party", Warren G. Harding (pamoja na kaimu wake Calvin Coolidge) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" James M. Cox (pamoja na kaimu wake Franklin D. Roosevelt).

Matokeo hariri

Harding akapata kura 404, na Cox 127. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.