Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1956
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1956 ulikuwa wa 43 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 6 Novemba. Upande wa "Republican Party", Rais Dwight Eisenhower (pamoja na kaimu wake Richard Nixon) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Adlai Stevenson II (pamoja na kaimu wake Estes Kefauver).
Matokeo
haririEisenhower akapata kura 457, na Stevenson 73 wakati mchaguzi mmoja kutoka Alabama alimpigia kura Walter B. Jones badala ya Stevenson. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |