Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1984

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1984 ulikuwa wa 50 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 6 Novemba. Upande wa "Republican Party", Rais Ronald Reagan (pamoja na kaimu wake George H. Bush) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Walter Mondale (pamoja na kaimu wake Geraldine Ferraro).

Matokeo hariri

Reagan akapata kura 525, na Mondale 13. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.