Uchaji wa Mungu
Uchaji wa Mungu ni sifa inayoheshimiwa katika dini mbalimbali.
Kama kipaji cha Roho Mtakatifu ni utayari wa Mkristo kuangaziwa na Roho Mtakatifu kuhusu ubaya wa dhambi ambayo inamchukiza Mungu. Si hofu ya adhabu yake tu.
Kipaji hicho kinatutia hofu ya kumchukiza Mungu kwa dhambi kama vile mtoto mwema aogopavyo kumtia baba yake uchungu.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |