Uche Ogbodo
Uche Ogbodo(Alizaliwa 7 Mei 1986) ni mwigizaji na mzalishaji wa filamu kutoka nchini Nigeria <%ref>Sholola, Damilola. "My marriage was full of lies – Uche", Vanguard Newspaper, 27 September 2014. </ref>.
Maisha yake
haririAlizaliwa katika jimbo la Enugu, safari yake ya kuelekea Nollywood ilianza kufuatia maamuzi ya baba yake baada ya kuandikishwa kwenye jumuiya ya waigizaji wa Nigeria katika Jimbo la Enugu[1].
Mara baada ya filamu yake ya kwanza ya mnamo mwaka 2006. Ogbodo alikuwa maarufu katika filamu mbalimbali.[2].
Filamu
hariri- Be My Val
- Family Romance
- Festac Town
- Forces of Nature
- Four Sisters
- Gamblers
- Girl Child (2018)
- Broken Pieces (2018)
- His Holiness
- His Last Action
- Honour My Will
- The Laptop
- Light Out
- Over Heat
- Ovy's Voice
- Power of Beauty
- Price of Fame
- Raging Passion
- Royal Palace
- Sacrifice for Marriage
- Simple Baby
- Spirit of Twins
- Turning Point
- Yankee Girls
- Mummy Why (2016)
- Commitment Shy
- Only Love
- Caught-up
Accolades
haririYear | Award ceremony | Prize | Result | Ref |
---|---|---|---|---|
2015 | 2015 Fashion Icon Awards | style="background: #99FF99; color: black; vertical-align: middle; text-align: center; " class="yes table-yes2"|Ameshinda | [3] |
Tanbihi
hariri- ↑ "How I Lost My Virginity At The Age Of 20 – Actress Uche Ogbodo", The Sun Newspaper, African Spotlight, 26 September 2012. Retrieved on 2020-10-31. Archived from the original on 2017-01-06.
- ↑ Njoku, Benjamin. "Every part of my body is a selling point – Uche Ogbodo", Vanguard Newspaper, 11 February 2012.
- ↑ Haliwud. "Actress Uche Ogbodo Wins Award For Fashion Icon Of The Year", Information Nigeria, 5 November 2015. Retrieved on 2 May 2016.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uche Ogbodo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |