Ufundi ni ujuzi au maarifa aliyonayo binadamu katika kufanya jambo fulani.

Katika kueleza dhana ya ufundi tunamhusisha binadamu zaidi, kwani ndiye mwenye ujuzi wa pekee unaomtofautisha na viumbe hai wengine.