Ugatuzi
Ugatuzi (kwa Kiingereza: devolution) ni mfumo wa utawala unaogawa madaraka ya uamuzi kutoka katika ngazi ya juu ya serikali na kuyapeleka katika ngazi ya chini (serikali za mitaa)[1][2].

Namna ugatuzi unavyofanyika inategemea sheria za nchi husika.
Tanbihi
hariri- ↑ "What is devolution?". BBC Academy (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-02-22.
- ↑ "Devolution: A beginner's guide" (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2010-04-29. Iliwekwa mnamo 2019-02-22.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |