Ukatili wa kiuchumi
aina ya unyanyasaji wa kijinsia
Ukatili wa kiuchumi (kwa Kiingereza Economic abuse) ni kitendo cha kikatili ambacho mtu mmoja anaweza kumiliki kwa nguvu vyanzo vya uchumi vya mtu mwingine [1] na kumzuia asijiendeleze kuchumi au kutumia nguvu dhidi ya mtu mwingine na kumuathiri kiuchumi.
Ukatili huo unajulikana pia kama ukatili wa kifedha; kitendo hicho ni kinyume na sheria, na hufanyika kwa jinsia zote mbili.[2]
Marejeo
hariri- ↑ Adams, Adrienne E.; Sullivan, Cris M.; Bybee, Deborah; Greeson, Megan R. (Mei 2008). "Development of the Scale of Economic Abuse". Violence Against Women. 14 (5): 563–588. doi:10.1177/1077801208315529. PMID 18408173. S2CID 36997173.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Carnot, Edward J. (2004). Is Your Parent in Good Hands?: Protecting Your Aging Parent from Financial Abuse and Neglect. Capital Books. ISBN 978-1-931868-37-2.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ukatili wa kiuchumi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |